NJOMBE
DISTRICT DEVELOPMENT TRUST
EDUCATION DEPARTMENT
SHULE YA
SEKONDARI MTWANGO
S.L.P 370. NJOMBE
Simu: +255756962462(mkuu
wa shule)
Kumb.Na.MTSS/AD.I/VoIV/75
|
YAH:
MAAGIZO YA KIJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MTWANGO
UTANGULIZI
Ninayo furaha kukuarifu kuwa umechanguliwa kujiunga na kidato cha……katika shule hii
kuanzia tarehe……..Hii ni bahati kubwa Sana kwako.Nimatumaini yangu kuwa utaitumia vizuri nafasi hii kwa
manufaa yako mwenyewe,wazazi wako na taifa kwa ujumla.
Hii ni ya kutwa na ina hosteli.Utaishi nyumbani kwa mzazi au shuleni
kwenye hosteli.Jaza fomu ya kukubali nafasi hii wewe na mzazi au mlezi wako.
Nenda Kwa daktari wa hospitali iliyo jirani nawe ili ukapimwe afya yako
na kurudisha cheti cha Daktari hapa shuleni siku ya kujisajili
Nunua vifaa vyote muhimu ulivyoagizwa
A:MAHITAJI MUHIMU YA SHULE
(1)Wasichana
(a)Blauzi nyeupe mikono mifupi
(2)
(b)Soksi nyeupe jozi mbili (2)
(c)Sketi mbili (2) rangi ya bluu
bahari kitambaa kizito kwa ajili ya kuvaa wakati wa vipindi (darasani) mshono
marinda nchi tatu (3) sketi ivuke magoti
(d)Sketi mbili rangi ya pinki za
heshima Kwa ajili ya kuvaa baada ya vipindi kwa wale wa hosteli
(e)Tisheti mbili (2) rangi ya
njano zisizo na maandishi
(f)Sweta mshono V isiyo na maandishi iliyoshonwa
kwa uzi wa rangi ya kijani kibichi
(g)Viatu vya jozi moja, rangi nyeusi,
visigino vifupi visivyo vya wazi
(h)Raba ya michezo jozi moja
(i)Bukta moja na fulana yake
(rangi yoyote) kwa ajili ya michezo
(j)Fyekeo moja
(k)Sketi mbili (2) kitambaa
kizito rangi ya kijani kibichi(kwa wanafunzi wa kutwa),mshono marinda nchi
tatu(3)ivuke magoti
(l)Track suits rangi ya Bluu
yenye “strips”nyeupe mikononi.
(2) Wavulana
(a)Mashati mawili meupe mikono mifupi.
(b)Suruali za heshima mbili (2) rangi nyeusi, mifuko mitatu kwa ajili ya
kuvaa wakati wa darasani.
(c)Suruali za kushona mbili (2) rangi ya khaki, za kuvaa baada ya vipindi
(d)Sweta mshono V isiyo na maandishi rangi ya bluu iliyokolea
(e)Viatu vya ngozi jozi moja, rangi nyeusi na visigino vifupi visivyo vya
wazi
(f)Raba ya michezo jozi moja
(g)Bukta moja na fulana yake (rangi yoyote) Kwa ajili ya michezo
(h)Jembe moja lenye mpini
(i)Suruali mbili (2) za heshima rangi ya kijani kibichi (kwa wanafunzi wa
kutwa) mifuko mitatu kwa ajiri ya kuvaa wakati wa darasani
(j)Tisheti mbili (2) rangi ya njano zisizo na maandishi
(k)Track suits nyeusi yenye “strips”nyeupe mikononi.
WOTE:
B: ADA
Ada ya mwaka ni shilingi milioni moja tu(Tsh.1,000,000/=) kwa hosteli.
Wale wa kutwa ni
laki sita na
nusu tu (650,OOO/=)
C: MICHANGO:
i).MCHANGO WA MAJI, MAJENGO, UMEME NA INTERNET TSH
60,000/=
ii).FEDHA
YA TAHADHARI (CAUTION MONEY)
Uje na shilling
elf kumi(Tsh 10,000/=) kwa
ajili ya tahadhali(caution money)
iii.)KITAMBULISHO CHA SHULE
Uje na shilling elfu tano tu (5,000/=) kwa ajili ya kitambulisho
Picha mbili ndogo(passport size)
kwa ajili ya matumizi
ya shule.
iv).MITIHANI
Uje na bunda moja
ya karatasi kwa
ajili ya majaribio
na mitihani ya ndani(photocopy A4 size)
v).CHAKULA (Kwa wale wa hosteli tu)
uje na sahani,kikombe na kijiko
kwa ajili ya
chakula
vi).MALAZI (Kwa wale hosteli tu)
Uje na:
a)Godoro la upana
wa futi mbili
na nusu na mto mmoja
b) Blanketi zito Mtwango ni eneo la baridi. Pia mashuka mawili: Wasichana
rangi PINKI na wavulana rangi ya BLUU.
c).Taulo
d).Ndoo
vii).WANAFUNZI
WA KUTWA NI WAZAWA MTWANGO TU.
viii).KURIPOTI SHULENI:
Unatakiwa kuripoti shuleni tarehe..............................…, saa
nne(4.00)asubuhi.
Ili
upokelewe unatakiwa uje na
vifaa/mahitaji yote yaliyo
orodheshwa hapo juu
pamoja na stakabadhi
ya benki(banki pay –in slip) isiyopunguwa shillingi:
- LAKI TANO NA ELFU SABINI NA TANO(575,000/=)KWA WANAFUNZI WA HOSTELI,
Kwa muhula wa kwanza,
500,000/=muhula wa pili
- LAKI NNE(400,000/=) kwa muhula wa kwanza,325,000/=kwa muhula wa pili kwa WANAFUNZI WA KUTWA.
Malipo yote yafanywe benki
kwenye akauti zifuatazo
1. NBC
MTWANGO SECONDARY SCHOOL
ACCOUNT NO.039103001206
2. NMB
MTWANGO SECONDARY SCHOOL
ACCOUNT NO.6063500087
3. CRDB
MTWANGO SECONDARY SCHOOL
ACCOUNT NO.0150349760200
Pembeni kwenye
“pay in slip”andika
ada ya………………..(jina la
mwanafunzi).Unaporipoti uje na
hiyo”pay in slip”.
………….MKUU WA SHULE………………Tarehe
REQUEST FOR
MEDICAL EXAMINATION
PART A:
TO THE MEDICALOFFICER
…………………………………………..
…………………………………………..
…………………………………………..
…………………………………………..
FROM THE HEADMASTER
MTWANGO
SECONDARY SCHOOL
PO BOX 370
NJOMBE.
RE: Mr/Miss………………………………………………………………………………..
Please examine the above named as to her or his fitness for admission as a student at mtwango secondary
school
Date……../……../…….
Signature………………..
Stamp……………………
PART B:
MEDICAL CERTIFICATE
(To be completed by the medical officer)
I have examined the above mentioned and consider that he/she is physical
fit /unfit for admission as a student to the said school.
Date…….../……/…..
Signature………………………
Station……………..
Designation…………………….
Stamp………………………….
WIZARA YA ELIMU
NA MAFUNZO YA UFUNDI
SHULE YA SECONDARY MTWANGO
SHERIA ZA
SHULE
Kila mwanafunzi lazima asome shelia hizi kwa uangalifu azielewe,azifuate
na kuzitii.
Uvunjaji wa sheria yoyote ya shule
hata kama ni ndogo kiasi gani hauta vumiliwa katika shule hihi na shirika la
NDDT kwa ujumla.
MAKOSA YANAYO WEZA KUSABABISHA
KUFUKUZWA SHULE
Makosa yafuatay yana weza kusababisha mwanafunzi kufukuzwa shule mara
moja.
1. Wizi wa aina yoyote
2. Uasherati
3. Ulevi wa aina yoyote
4. Uvutaji bangi
5. Makosa ya jinai
6.Kupigana
7. Kuharibu Kwa makusudi Mali ya umma
8. Utolo shuleni
9. Kudharau bendera ya Taifa
10. Kutofanya mtihani wowote
unaoandaliwa na shule
11. Kutotii ratiba ya shule
12. Kusababisha au kushiriki katika migomo
13. Kumiliki simu ya mkononi ukiwa shuleni
MENGINEYO
1. Unatakiwa kuvaa mavazi rasmi ya shule wakati wote
2. Hutakiwi kukaa na madawa bwenini bila idhini.
3. HURUHUSIWI KUWA NA SIMU SHULENI.NI MARUFUKU
4Unatakiwa kula chakula kilicho andaliwa na shule.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni